USAID empowers farmers in fight against zoonotic diseases
FARMERS who attended the Nane Nane exhibition that ended here last week were empowered with crucial information to combat zoonotic diseases, thanks to the “Holela-Holela Itakukosti” campaign.


Karibu kwenye Pambazuko!
Gazeti hili limeanzishwa kwa msukumo wa kuhakikisha kuwa kila mtu anapata habari bila gharama au kwa gharama nafuu. Simon Mkina, mwanzilishi na mhariri mkuu wa Pambazuko, ameweka dhamira hii moyoni, akilenga kuhakikisha habari zinawafikia wote kwa urahisi
Sambaza Kwa Wote, Bila Gharama
Tunaamini katika haki ya kupata habari, ndiyo maana Pambazuko linatolewa bure. Gazeti letu linasambazwa kupitia WhatsApp, Signal, na barua pepe, ili kufikia wasomaji wengi zaidi kwa njia za kisasa.
Ubora na Uandishi wa Habari
Pambazuko linaweka viwango vipya katika uandishi wa habari kwa kutumia Kiswahili. Tunahamasisha matumizi ya lugha hii katika vyombo vya habari vya kidijitali, tukiamini kuwa vinaweza kuwa daraja muhimu la kuunganisha serikali na wananchi, huku tukikuza demokrasia na haki.