Kazi ya uandishi wa habari makini, wenye kujali maslahi ya umm, siyo rahisi, na  hasa katika mazingira ya kutokuwa na fedha. Ni ngumu, lakini pamoja na changamoto zake, Pambazuko limeamua kuifanya bila kuwaongezea wasomaji wake mzigo mzito wa kuwakamua kiuchumi.

Katika kipindi kirefu sasa; miaka mitatu, kazi hiyo imekuwa ikifanywa na wahariri na waandishi kwa kujitolea, na wataendelea kufanya hivyo.

Hata hivyo, ili kufanya vyema zaidi; kwa kupata habari za uhakika, zenye uthibitisho na zenye kuwakanya na pengine kuwaumbua wenye kutumia vibaya madaraka na fursa binafsi, kunahitaji rasilimali fedha, ambazo Pambazuko halina.

Hivyo, tunaomba mchango wa fedha kwa yeyote anayeguswa kuchangia ili kuhakikisha Pambazuko linaendelea kufikia watu wengi zaidi duniani – bure.

 Tafadhali changia kiasi chochote kupitia njia zifuatazo:

 

Njia ya Benki:

Jina la Benki: Tanzania Commercial Bank
Jina la Akaunti: Tanzania Media Practitioners Association
Namba ya Akaunti: 111218000602
Swift Code: TAPBTZTZ

………………………………………………

Njia ya Simu

Vodacom (Mpesa) Namba: 0744 768 263
Jina: Pambazuko Gazeti