Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Michango

Tuchangie

Pambazuko limekuwa likitolewa bure tangu siku ya kwanza. Linaendelea kutolewa bure kwa sababu wasomaji kama wewe wanachangia kile wanachoweza.

M-Pesa

0744 768 263

Tuma mchango wako moja kwa moja kwa namba hii ya M-Pesa.

Benki

111218000602

Tanzania Commercial Bank (TCB)

Kwa michango mikubwa au ya taasisi.

Mchango Wako Unafanya Nini

  • Unagharamia safari za waandishi nje ya Dar es Salaam, ili habari za mikoa zisiachwe nyuma.
  • Unalipia muda unaohitajika kwa habari za uchunguzi — habari moja inaweza kuchukua wiki kadhaa.
  • Unatuwezesha kubaki huru, bila kutegemea mfadhili mmoja au taasisi moja.

Mchango si uanachama. Kama unataka kusoma makala zote kwenye tovuti, angalia uanachama wa Pambazuko.

Kwa maswali kuhusu michango: info@pambazuko.or.tz · +255 744 768 263