Tanzania inapaswa kuzingatia mambo haya
TAIFA letu limekumbwa na tatizo kubwa. Tatizo hilo lilitokea; huo ndio ukweli ambao hatupaswi kuuficha.
Tahariri, safu za wachambuzi na barua za wasomaji.
TAIFA letu limekumbwa na tatizo kubwa. Tatizo hilo lilitokea; huo ndio ukweli ambao hatupaswi kuuficha.
TANZANIA inajiandaa kuwa mwenyeji mwenza wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027, pamoja na Kenya na Uganda.

Ni kawaida serikali kutangaza mafanikio yake kwa umma, lakini mafanikio hayo yanapobaki kwenye karatasi, wananchi hushindwa kuelewa thamani ya takwimu zinazowafikia, soma tahariri ya Pambazuko kuelewa maana inayotakiwa na wenye nchi.
HAKUNA anayenunua nyumba kwa mgeni anayefika asubuhi akiwa na tabasamu tu na bango la “inauzwa”.
ZANZIBAR inaingia katika hatua muhimu ya kisiasa baada ya Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, kuafikiana kuhusu utekelezaji wa maridhiano yaliyofikiwa kati ya CCM na ACT-Wazalendo.
KUNA wakati ukiwa barabarani Dar es Salaam unaweza kujiuliza kama kweli tunatumia barabara moja au kila mtu ana sheria yake.
WIKI hii tuliadhimisha Siku ya Demokrasia Duniani na likawepo kongamano kubwa lililoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ambapo palikuwa na mjadala mzuri kuhusu suala la Katiba na tunachoweza kujifunza kutokana na uchaguzi wa mwaka 2025.
HABARI za leo msomaji wangu wa safu ya uhusiano, karibu kwenye uwanja huu tuweze kushiriki mafunzo na elimu kuhusu masuala mbalimbali ya maisha.
KUNA wakati katika maisha ya taifa ambapo ushindi mkubwa wa kisiasa siyo pale upande mmoja unapomshinda mwingine, bali pale pande zinazotofautiana zinapokubali kukaa pamoja na kutafuta kinachowaunganisha.

Ama kweli dunia ina mambo mengi sana na haipoi hata siku moja. Ona jambo hili la kufikirisha; kwamba kiongozi mkubwa anaamua kutumia vyombo vya maguvu kudhibiti mtu anayemhusudu. Msome Mzee Tai ujue mengi.
SERIKALI ina wajibu wa kufanya kila linalowezekana kudhibiti mfumuko wa bei, hasa kwa bidhaa na huduma ambazo wananchi huzihitaji kila siku.
PAMOJA na kwamba nimeshawasilisha salaam zangu za pole kwa mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na familia yake kutokana na msiba walioupata, napenda kwa mara nyingine kuwatakia faraja na subra wakati wote wa msiba.
FIKIRIA asubuhi moja umeamka na tatizo la kisheria linalohitaji wakili. Hutafungua tu orodha ya majina na kuchagua kibahati-bahati, bali utamuuliza rafiki, utatafuta jina fulani mtandaoni na utaangalia ni nani ambaye watu wanamwamini.
CAG, Dkt. Charles Kichere KUNA jambo moja ambalo Tanzania tunapaswa kuanza kulitafakari upya. Kwa nini tunafurahia sana kuzindua miradi, lakini wakati mwingine tunasahau kuuliza matokeo yake?
MHESHIMIWA Jaji Mkuu George Masaju, kwa mara kadhaa ametoa maelekezo mbalimbali kwa watendaji wa mhimili wa mahakama na kwa umma mzima.
MABADILIKO ya viongozi katika nchi yoyote ni jambo la kawaida. Leo mtu anaweza kuwa madarakani, kesho asiwepo. Leo anaweza kushika nafasi kubwa, kesho nafasi hiyo ikawa mikononi mwa mwingine. Huo ndio uzuri na wakati mwingine ugumu wa uongozi wa kisiasa.
WIKI iliyopita rafiki yangu, Juma, alinipa lifti kwenye gari lake la zamani. Nyuma kulikuwa na vitanda viwili ambavyo alivitengeneza katika karakana yake ndogo maeneo ya Temeke.
RAIS Samia Suluhu Hassan alipowaapisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala wapya Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, Septemba 2, 2026, alitoa kauli iliyostahili kusikilizwa na kutafsiriwa mara mbili.
KAULI ya Rais Samia Suluhu Hassan kukemea uchafu uliokithiri katika miji yetu, hasa Dar es Salaam, inapaswa kuwatafakarisha kwa kina viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi zote.
MITANDAO ya kijamii imebadilisha namna wananchi wanavyopokea na kutafsiri taarifa za serikali.
OFISA mmoja wa mawasiliano alinipigia simu asubuhi baada ya kusambaa kwa taarifa kwamba Dkt. Emmanuel Nchimbi amefukuzwa ndani ya chama chake; CCM.
NINA hofu tatu kubwa katika maisha. Namwogopa Mungu. Naiogopa teknolojia. Na sasa, nakihofia Chama Cha Mapinduzi—CCM.
KAMA ilivyo na ukakasi kuzoea kumuita rais “mama au baba,” inaweza kuwa na ukakasi kumwita makamu war ais; “mtoto au mwanetu.”
TUNAMPONGEZA Deogratius John Ndejembi kwa kuaminiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
UZINDUZI rasmi wa Bwawa na Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Agosti 22, 2026, ni hatua ya kihistoria inayostahili pongezi kutoka kwa kila anayeitakia mema Tanzania.
Kwa tafsiri rahisi, basi lisimfuate abiria Sinza, Shekilango, Mabibo au sehemu nyingine iliyo karibu naye. Abiria ndiye afuate basi, hata kama safari ya kulifuata inahitaji safari nyingine yenye foleni, mizigo na gharama ya ziada.
TAIFA linahitaji maridhiano. Yawe ya kweli au ya hila, ni muhimu kutambua makosa matatu ya kimkakati yaliyotupokonya fursa na sifa nzuri ya taifa letu.
VITA dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu haitashinda kwa sauti kubwa, bali itashinda kwa akili ya kimawasiliano.
KUKAMILIKA kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), unaofahamika pia kama Stiegler’s Gorge, ni hatua kubwa katika historia ya nishati Tanzania.
Kero, ushauri na maoni kutoka kwa wasomaji wa Pambazuko.
KUNA matukio huanza kama wazo dogo la jamii, lakini baadaye hukua na kuwa sehemu ya utambulisho mpana wa taifa. Tamasha la Kizimkazi ni miongoni mwa mifano hiyo.
KUNA jaribio dogo ninalotumia kila ninapokutana na mteja mpya. Namuuliza ataje jambo moja ambalo taasisi yake imewahi kukubali hadharani kuwa ilikosea katika miaka miwili iliyopita.
NAANDIKA ili kuutetea uanaharakati. Nafanya hivi kwa sababu nimeona pande mbili zinazovutana zinaweza kusababisha tupoteze kitu muhimu sana.
SERIKALI yetu siku hizi inafanana na mtu aliyefika sokoni akiwa na orodha ndefu, lakini mfukoni ana pochi nyembamba na kichwani hajui aanzie wapi.
UJENZI na ukarabati wa barabara unaoendelea katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam ni uwekezaji muhimu kwa mustakabali wa maisha ya wananchi.
Kero, ushauri na maoni kutoka kwa wasomaji wa Pambazuko.
KILA mwaka ifikapo Agosti 8, Watanzania hushuhudia Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (Nane Nane) yakifunguliwa kwa kaulimbiu mpya inayolenga kuhamasisha maendeleo ya kilimo, mifugo na uvuvi.
KAMPUNI kubwa duniani hazianguki kwa kukosa bidhaa nzuri, zinaanguka kwa kukosa sifa njema.
KUNA kauli ambazo zimetolewa na viongozi wawili katika wizara moja, tena ndani ya kipindi kifupi.
SIKU chache kabla na baada ya vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) huko Zanzibar – Julai 28-29, 2026), wana CCM tumekuwa na maneno yanayovuka heshima kubwa tuliyo nayo kuliongoza taifa.
NIMEMUONA kijana wangu Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, akigawa visheti, bagia, soda, machungwa na mihogo ya kuchemshwa kwa wananchi wake.