UCHUNGUZI WA NISHATI NA MAZINGIRA
Vita vya nishati Kiroka: Je, mkakati wa 2034 utafika vijijini huku mkaa ukiwa "rahisi" kuliko gesi?
Licha ya Tanzania kuweka lengo la kuhakikisha asilimia 80 ya wananchi wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo 2034, kaya nyingi za Kiroka, Morogoro, bado zinategemea mkaa na kuni.
