
Tanzania yalipa mabilioni ‘kujisogeza’ kwa Trump
Tanzania pamoja na nchi zingine za Afrika, imebainika kuingia mikataba na kampuni za ushawishi ili kuifikia Ikulu ya Marekani kwa lengo la "mazungumzo rasmi."
Bunge, utawala, uchaguzi na sera za taifa.

Tanzania pamoja na nchi zingine za Afrika, imebainika kuingia mikataba na kampuni za ushawishi ili kuifikia Ikulu ya Marekani kwa lengo la "mazungumzo rasmi."
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (Udasa), Dkt. Dominicus Makukula, haamini endapo Katiba Mpya itapatikana kabla ya mwaka 2030.
KUJIUZULU kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi kutoka nafasi ya Makamu wa Rais kumeongeza machungu mengine ya kufukuzwa kwake uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Chama tawala, CCM kimeeleza kusikitishwa na tukio la kupotea kwa aliyekuwa kada wake, Humprey Polepole. kikieleza kuwa "kinaomba Mungu apatikane haraka."
MWENYEKITI wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, almaarufu OMO, amewataka wajumbe wa wawakilishi kutoka chama hicho kutumia nafasi zao kujenga taasisi imara za uwajibikaji.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amehitimisha safari ya siku tano ya kuwasilisha ushahidi wake binafsi, katika kesi ya uhaini inayomkabili.
NANI anajua alipo Dkt. Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais wa Tanzania aliyetangaza kujiuzulu na kuachana na siasa na utumishi wa umma?
MATUKIO ya kujiuzulu na kufukuzwa kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi yameacha gumzo kubwa kitaifa, na yameongeza sura katika kitabu cha uongozi wa nchi, hasa wanapojadiliwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania tangu Abeid Karume hadi Deo Ndejembi.
Katika uamuzi wa Ijumaa iliyopita, jopo la majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, liliamua Lissu ana kesi ya kujibu katika kesi hiyo ya uhaini inayomkabili, hatua inayofungua njia kwa mwa- “Kwa hiyo hakuna haja ya kuwaita mashahidi hao ambao kwa kuwa ushahidi wao umeshatolewa na watumishi wa serikali, ni kama vile anataka hawa wafike ili afanye cross examination (awafanyie mahojiano) ya kile kilichoelezwa na mashahidi hao,” alisema.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa chama hicho kukutana mara kwa mara katika vikao rasmi.
MCHAKATO wa maridhiano ya kisiasa kati ya ACT Wazalendo na Chama Cha Mapinduzi (CCM) -Zanzibar, umeingia katika hatua mpya.

Watu mashuhuri, taasisi na mashirika ya kutetea haki za binadamu yameendelea kuomba kuharakishwa kwa hatma ya mashauri yanayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.

Suala la kupatikana kwa Katiba Mpya Tanzania linaendelea kuzungumzwa, huku wengi wakiingiwa shaka endapo itapatikana kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa 2030.
KIKAO kilichofanywa na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) na Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dodoma kilikuwa na usiri, nyeti na mikakati, Pambazuko limeelezwa.