
HESLB yajipanga kuingia soko la mitaji, kuuza hatifungani
HESLB imebuni vyanzo mbadala vya fedha ili kuongeza uwezo wa kugharimia masomo ya wanafunzi na kupunguza utegemezi wa bajeti ya serikali.
Masoko, biashara ndogo, kilimo, uwekezaji na fedha.

HESLB imebuni vyanzo mbadala vya fedha ili kuongeza uwezo wa kugharimia masomo ya wanafunzi na kupunguza utegemezi wa bajeti ya serikali.
Mauzo ya nje ya Afrika Mashariki yaliongezeka kwa kasi kuliko uagizaji wa bidhaa katika robo ya pili ya mwaka 2026, na kuiwezesha kanda kupata ziada ya biashara ya dola milioni 300.

Mafanikio ya Benki ya CRDB yametokana na ufaninisi wa majukumu yake na imani kutoka kwa wateja wake, hivyo, kuwa na nafasi ya kuongeza mtaji wake kupitia taasisi za fedha ndani na nje ya Tanzania.

Uchumi wa Tanzania sasa unabebwa zaidi na fedha za kigeni zinazotokana na mauzo ya dhahabu, Gazeti la Pambazuko linaeleza.
MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Sanaa Bunifu, Dkt. Dominicus Makukula, amesema wakati umefika kwa wataalamu kueleza sababu za kukua kwa uchumi wa nchi, wakati Watanzania wengi bado wako kwenye lindi la umasikini.

KUIMARIKA kwa uchumi wa Tanzania kutaonekana zaidi kwa watu na taasisi kuwa wamiliki wa moja kwa moja wa misingi mikuu ya uchumi kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ambalo sasa linakua zaidi.
WACHUMI wanaonya kuwa ingawa takwimu zinaonyesha kuwa mfumko wa bei haujafika kwenye hali mbaya sana, lakini mwenendo wake katika miaka ya hivi karibuni ni suala linalopaswa kuanza kufikiriwa kwa kina na hatua kuchukuliwa.
BAADHI ya waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), wameiomba serikali iharakishe malipo ya stahiki zao ili waweze kutafuta makazi mapya.
HOTELI ya kitalii ya Chem Chem, imeshinda tuzo ya ubora Afrika – kwa mara ya pili mfululizo, katika tuzo zinazoandaliwa na Shirika la Kimataifa la Utalii (WTA).
KAMPUNI ya Mawasiliano Tanzania (TTCL), imezindua awamu ya pili ya upanuzi wa mtandao wake wa intaneti ya majumbani.
HAUJAANZA rasmi lakini mradi wa kuchakata gesi asilia (LNG) ambao umepangwa kujengwa Lindi, Tanzania, unaitikisa dunia.
WASAFIRI wanaokwenda nje ya Tanzania, sasa wataweza kupata huduma ya intaneti bila kubadilisha laini zao za simu au kununua kadi za simu wanapowasili, baada ya kuzinduliwa kwa jukwaa la Kwetu eSIM.
KAMPUNI ya kimataifa ya Fitch Rating inayojihusisha kufanya tathmini ya uwezo wa nchi kukopesheka katika masoko ya fedha ya kimataifa, imetoa alama ya B+ kwa Tanzania katika tathmini yake ya hivi karibuni.
Msasa imeingia kwenye viwanda vinavyozalisha bidhaa muhimu katika sekta ya madini.
Na Mwandishi WETU RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115.
SERIKALI imezindua kielelezo cha viwango vya faida vya dhamana za serikali, hatua inayotarajiwa kuimarisha uwazi wa soko la fedha, kuongeza ufanisi wa maamuzi ya uwekezaji na kuvutia mitaji ya ndani na nje ya nchi.
SERIKALI ya Rwanda imeibua sintofahamu miongoni mwa wazalishaji, wasambazaji na wauzaji wa pombe kali katika nchi za Afrika Mashariki.