Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari

SELF yatoa mikopo ya bilioni 138.28/- ndani ya miaka mitatu

Mfuko waripoti kuwafikia wanufaika zaidi ya 131,000 na kusaidia kutengeneza ajira zaidi ya 262,000, huku ukiimarisha upatikanaji wa mitaji kwa wajasiriamali, wanawake na vijana.

Jumatano, 28 Oktoba 2026 · 16:40Dakika 4 kusoma
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Self Microfinance Fund, Santiel Manongi, akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Self Microfinance Fund, Santiel Manongi, akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam. — Picha na Green Waves Media

MFUKO wa SELF Microfinance Fund umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 138.28 katika kipindi cha 2023 hadi 2025, na kuwafikia wanufaika 131,312 katika Tanzania Bara na Zanzibar.

Takwimu zilizowasilishwa na Mtendaji Mkuu wa mfuko huo, Santiel Manongi, zinaonesha kuwa wanawake 66,969, sawa na asilimia 51 ya wanufaika wote, walinufaika na mikopo hiyo. Vijana walikuwa 19,696.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia