Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Utalii

Chem Chem yaibuka hoteli bora Afrika

HOTELI ya kitalii ya Chem Chem, imeshinda tuzo ya ubora Afrika – kwa mara ya pili mfululizo, katika tuzo zinazoandaliwa na Shirika la Kimataifa la Utalii (WTA).

Jumatatu, 7 Septemba 2026 · 06:00Dakika 2 kusomaToleo 181, uk. 31

Chem Chem Safari Lodge iliyopo eneo la hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori (WMA) la Burunge, Wilaya ya Babati, Manyara ambalo lipo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imeshinda tuzo hiyo mfululizo mwaka 2025 na mwaka 2026.

Ushindi huu ni sehemu ya malengo ya muda mrefu ya waanzilishi wa hotel hiyo; Nicholas Negri na Fabia Bausch baada ya kuifanya Burunge WMA kuwa hifadhi ya jamii bora zaidi Afrika, kwa kutoa huduma bora za utalii, kuongezeka wanyamapori na kuwa na mazingira bora zaidi ya kufanya utalii wa kifahari.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia