Burudani
Dulla Makabila: Nikiwapima wanangu DNA, ‘nitawapost’
MSANII wa Singeli nchini, Dulla Makabila ameweka wazi kuwa ana watoto wanne, lakini siku akiwapima DNA ndio atawaweka hadharani.
Msanii huyo ametoa kauli hiyo juzi alipoulizwa na waandishi wa habari kuhusu watoto wake ambao hajawahi kuweka picha zao kwenye mitandao ya kijamii.
“Nina watoto wanne, lakini kwa sasa sitawapost hadi niwapime DNA kwa sababu nimeshawahi kubambikiwa,”amesema Dulla.
- Dulla Makabila
- Singeli