Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Burudani

Dudubaya alipiwa faini Basata

WAANDAJIwaTamashalaMiaka30yaBongoFleva,wamelipafainiyaShilingimilioni3iliyotolewanaBarazalaSanaalaTaifa(Basata),baadayakuwepoukiukwajiwamaadiliuliotokeakatikatamashalaSeptemba19,2026jijiniDaresSalaam.

Jumatatu, 28 Septemba 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 184, uk. 42

Mratibuwatamashahilo,HamadAllymaarufuMadeepamojanamsanii,GodfreyTumainimaarufuDudubayawalipigwafainihiyonaBasatahukukilammojaakitakiwakulipaShilingimilioni3ndanisiku14.

KwamujibuwataarifayawaandajiwatamashahiloiliyotolewaSeptemba26,2026,walipokeanakukubalikutekelezauamuzihuowaBasatakwakulipafainihizo.

“BaadayakupokeauamuzihuowaBarazalaSanaalaTaifa(Basata),tunapendakuujulishaummakuwatumepokeanakukubalikutekelezaadhabuzilizotolewanabarazahilonakwaharakatumelipafaini,”imeelezataarifahiyo.

Taarifahiyoilielezakuwakukubalikufanyamalipohayoniutayariwaowakuzingatiasheria,kanuninataratibuzinazosimamiasektayasanaanchini.

AidhakupitiataarifahiyowaandajihaowameahidikuendeleakushirikiananaBasatapamojanawadauwenginekuhakikishashughulizaozinafanyikakwakuzingatiamaadili.

AdhabuyafainihiyoilitokananaDudubayakubainikakukiukaKanuniya20(a)yaKanunizaBasata,TangazolaSerikaliNa.137laMei22,2026,wakatiakitumbuizakatikatamashalililofanyikaSeptemba19,2026,ViwanjavyaGeneralTyre,Arusha.

KwaupandewaMadee,yeyealitozwakulipafainihiyokwakuendeleakumtumiaDudubayajukwaanipamojanakuwepoukiukwajihuo.

  • Dudubaya
  • Basata
  • Faini
  • Muziki

Soma Pia

Dudubaya alipiwa faini Basata | Pambazuko