Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Burudani

Diamond: Nilikuwa mpiga ngoma kabla ya kuwa mwanamuziki

MSANIIwaBongoFleva,NaseebAbdulmaarufuDiamondPlatnumz,amesemakablayakuwamwanamuzikialikuwampigangomajamboambalobibiyakehakutakaafanye.

Jumatatu, 28 Septemba 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 184, uk. 42

DiamondametoakaulihiyojuziakiwakatikaUwanjawaNdegewaSongwekwaajiliyakushirikikwenyeTuliaTraditionalDanceiliyoandaliwanaTaasisiyaTuliaTrust.

“Kablayakuwamwanamuzikinilikuwampigangoma,ilabibiyanguhakutakanifanyekazihiyo,”amesemakwakifupiwakatiakihojiwanawaandishiwahabari.

  • Diamond Platnumz
  • Bongo Fleva
  • Muziki

Soma Pia