Kimataifa
Dunia: Hapa na Pale
Habari fupi za kimataifa: vita ya Norway, Trump awabana Wakenya, Iran na Hormuz, na hali ya Tigray.
TrumpawabanaWakenya.
MKONOwaRaiswaMarekani,DonaldTrumpumewanasaraia49waKenyakatikamsakowawahamiajiharamunasasanimiongonimwamaelfuyawatuwaliokatikaorodhampyayawanaosubiritaratibuzakufurushwakutokaMarekani.
MajinanapichazaWakenyahaozimechapishwahadharaniambapoIdarayaUsalamawaTaifayaMarekani(DHS)imechapishataarifazaraia125kutokaAfrikawanaosubirikuondolewanchinihumokatikasikuzijazo,hukuWakenya49wakiongozaorodhahiyoikiwaidadikubwazaidikutokataifamoja.
DHSimepanuahifadhidatayakeinayojulikanakama“wabayazaidi,”inayolengawatuwasiokuwaraiawaMarekaniwalionarekodizauhalifunawanaotafutwakuzuiliwanakufurushwakutokanchihiyo.
KUMEKUWAnamatukioyakushangazanchiniNorway,kupitiahaflamaalumuyaJammertestambayohuandaliwakilamwakanahufanyikahadharani,ikihusishamajaribioyakuvuruganakudukuamifumoyamawasiliano.
Haflahiyoiliyopewajinala‘vitaisiyoonekana”hufanyikakatikakisiwachambali,takribankilomita300kaskazinimwaMstariwaAktiki,kwalengorahisi,lakinilakushangaza,kutumiamawimbiyasetilaitikubadilishamudawenyewenakujaribuiwapovipokezivyavifaambalimbali,kuanziasaahadidroni,vinawezakustahimilishinikizohilo.
Washirikihuvaamakotiyanayoonekanakwaurahisi,ambayohuvaliwakikazi,yakiwanabejiyenyepichayasunguramweupeanayekimbiahukuakiwaameshikiliasaa,kamayuleanayejitokezakatikafilamuyaAliceinWonderland.
WAZIRIwaMamboyaNjewaIran,AbbasAraqchi,amesemakwambanchiyake,kupitiawapatanishi,imewasilishampangowakufunguatenamlangowabahariwaHormuzAraqchi,ambayemwishonimwawikialikutananakundilawaandishiwahabaripamojanawanachamawataasisizautafitinauchambuziwaserazaMarekani,alisemaiwapoMarekaniitatimizamashartimaalumyaliyowekwanaIran,mlangowabahariwaHormuzutafunguliwatenandaniyasikusaba.
Amesema;“Mashartihayasiyomapya;niyaleyaleyaliyowasilishwaawalikatikamakubalianoyaIslamabad.NivyemamakubalianohayoyatekelezwekablayauchaguziwakatikatiyamuhulawaMarekani.”.
Mambobado‘meusi’TigrayHUDUMAzaintanetinamawasilianoya.
Hudumazakampuniyamawasilianoyaserikali,EthioTelecom,zimesimamishwakabisa,hukuhudumazakampunibinafsiyaSafaricomzikiendeleakupatikanakatikabaadhiyamaeneo.
KundilaufuatiliajiwaintanetilaNetBlockslimesematakwimuzamtandaozinaonyeshakuzimwakwahudumazaintanetikatikasehemuzakaskazinimwaTigray.
MfanyakaziwamisaadakutokaMarekanianayefanyakaziMekelle,DukeBurbridge,amekaririwaakisemahudumazamawasilianozilikatikamwishonimwawikijambolililoongezachangamotokwawakaziwanaokabiliwanahaliyataharukikutokananamapiganoyanayoendelea.
- Kimataifa