Habari Kuu
Katiba Mpya kusubiri, Samia abainisha marekebisho iliyopo
Kuna kila dalili kwamba kupatikana Katiba Mpya ya Tanzania huenda kukachukua muda mrefu zaidi ya ilivyokuwa ikitarajiwa, kwani imebainishwa kwamba kwa sasa yatakuwepo marekebisho ya Katiba iliyopo.

NDOTO ya kupatikana kwa Katiba Mpya Tanzania, huenda ikalazimika kusubiri hadi wakati mwingine, lakini siyo sasa.
Hatua hiyo inathibitishwa na Rais Samia Suluhu Hassan ambaye leo amekutana na kuzungumza na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu, Dar es Salaam.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa