Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari

Utekelezaji wa Dira 2050 wahitaji uamuzi mgumu

Utekelezaji wa Dira 2050 ya Tanzania unatajwa kwamba sekta binafsi inatarajiwa kuchangia asilimia 70 huku sekta ya umma ikipaswa kuchangia asilimia 30.

Jumatano, 30 Septemba 2026 · 15:26Dakika 3 kusoma
Rais Samia Suluhu Hassan akizindua Dira 2050
Rais Samia Suluhu Hassan akizindua Dira 2050 — Picha kutoka Ikulu

SERIKALI imezitaka bodi na menejimenti za taasisi na mashirika ya umma kufanya uamuzi magumu wenye uharaka katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 (Dira 2050), lakini ikisisitiza kuwa kasi hiyo lazima iende sambamba na sheria, uwajibikaji na utawala bora.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, alisema miaka ya mwanzo ya utekelezaji wa Dira 2050 ni muhimu kwa sababu uamuzi, uwekezaji na taasisi zinazojengwa sasa vitaathiri kwa kiasi kikubwa mwelekeo wa maendeleo ya Tanzania katika miaka ijayo.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia