Vituko vya Wakubwa
Maajabu ya Mobutu akiwa Ikulu — V
MwandishiWETUKARIBUkatikamfululizowamakalazinazoelezavitukovyaMobutuSeseSekoKukuNgwenduWazambanga,jinalakehalisiakiitwaJosephDésiréMobutu,raiswazamaniwailiyokuwaZaire(sasaJamhuriyaKidemokrasiayaCongo–DRC)WikiiliyopitatuliishiapaleambapoMobutualiteuliwakuwamsaidizimaalumwaPatriceLumumba,ingawawatuwalishaanzaminong’nokuwaMobutuanafanyakazinashirikalaujasusilaUbelgiji.
Kipindichamwaka1960mazungumzomjiniBrusselsyalikwanijuuyauhuruwaCongo.
UbaloziwaMarekaniulihodhimazungumzoambayoyaliazimiakupatapichakamiliyauwakilishiwanchihiyo.
Wafanyakazikilammojawalikabidhiwamajinayawageniwakuwapokeanakuongeanao,hatahivyo,balozialigunduajinamojalinajirudia,huyoalikuwakatibuwaLumumba.
LakinikilamtualimkubaliMobutukuwamtuhuyualikuwanaakilinaalitabiriwaangewezakutafikambali.
KutokananaahadiyauhuruJuni30,1960,serikaliyamsetoiliundwa,ikiongozwanaWaziriMkuuPatriceLumumbanaRaisJosephKasa-Vubu.HarakataifajipyalilianzakukumbwanamatatizowakatiaskariwalipoanzakukaidimaofisawajeshiwaKibelgiji.
LumumbaalimpacheoMobutuakiwaKatibuMkuuKiongoziauMnadhimuMkuuwaJeshilaWananchiwaCongonaVictorLundulaakiwaMkuuwaMajeshi.
Katikanafasihiyo,Mobutualitembeanchinzimakuhimizawanajeshiwarudikambini.
Pia,jitihadazilifanywanaSerikaliyaUbelgijikulindamigodiyamadiniKusinimwaCongonajeshilaUmojawaMataifa(UN)likaletwakwaajilihiyo.
AkiwanawasiwasikuhusuuwepowamajeshiyaUNsiyokwakutulizaamani,balinikwalengolakuligawataifa,LumumbaaliendaUmojawaSoviet(Urusi)kuombamsaada,naalipewasilahanaaskariwaKisovietwanaokadiriwakufika1,000pamojanamsaadawakiufundikwawikisita.
SerikaliyaMarekaniilionajitihadazaUrusininjiayakuenezaujamaawakikomnistAfrikayakati,hivyoWamarekaninaWabelgijiwalimhamasishaKasa-VubukuanzishampangowakuchukuamadarakakijeshinakumuondoaLumumba.
Lumumbaalipogunduahilo,harakaalimtoaKasa-Vubumadarakani,hukuwotewawilikilammoja(LumumbanaKasa-Vubu)akimpamaelekezoMobutuyakumwekandanimwenzake.
AkiwaMnadhimuMkuuwaMajeshi,Mobutualikuwakatikatiyamsukumokutokasehemumbalimbali;balozizamagharibiambazozililipamishaharayaaskari,piaKasa-VubunawanajeshiwachinihawakupendauwepowamajeshiyaUrusi.
MobutualimlaumuLumumbakwakutafutahurumayaUrusiakidaiwaliletamgonganonaWamarekani.
Urusiwalimpatiamsaadawasilahanaaliwezakupiganianafasiyake,baadayemwaka1960,LumumbaalikamatwanakupelekwaKatanga.
MobutubadoalimuonaLumumbanitishio,kwahiyoaliamrishaakamatwenaapigwehadharani.HiyoilikuwaJanuari17,1961.
BaadayeLumumbaalitowekakwenyemachoyawatunahakusikikatena.
IlifahamikaaliuawasikuileilenamajeshimaalumyaMoiseTshombebaadayakuigeukaSerikaliyaMobutunamabishanonaWabelgiji.
WamarekaniwalimuonaLumumbanikiongozihatarinamaslahiyaoyangekuwahatarinikamaangebakimadarakani.
January23,1961,Kasa-VubualimpandishacheoMobutukuwamkuuwamajeshi,DeWitteanasemahiiilikuwanikwasababuzakisiasazaidikwaniayakulipajeshinguvukubwazaidi.
Mobutualikuwamtuambayeraisalimwaminizaidikutokananaumuhimuwakekatikajeshi.
Mwaka1964PierreMulele,mfuasinarafikiwakaribuwaLumumbaakishirikiananaakinaLaurentKabilaaliongozawafuasiwavyamavinginekatikamapinduzi.
KwaharakawalishikiliamojayatatuyaeneolaKongo,lakinijeshilaKongolikiongozwanaMobutuwaliwezakuchukuaeneolotelililotekwailipofika1965.
WaziriMkuu,MoiseTshombe,ambayendiyealikuwakiongoziwaCongoleseNationalconvention(CNC)alishindauchaguzikwakuranyingikatikauchaguziwaMachi1965,lakiniKasa-Vubualimtunukukiongoziwaupinzani,EvaristeKimbakuwawazirimkuu,hatahivyobungelilipingauteuzihuo.
Kufikiahaposerikaliilikuwainayumba,MobutualichukuanafasihiyokwakufanyamapinduziyakijeshiNovemba25,1965akiwanaumriwamiaka35.
AfutabungeChiniyautawalawadharura,Mobutualifikiriatapatanguvukamiliyauongozindaniyamiakamitano.
HotubayakeyakwanzabaadayakuchukuamadarakaaliuambiaumatiwawatumjiniLeopoldvillekuwa“tanguwanasiasawaharibunchi,basikwamiakamitanohatutakuwanachamachasiasawalashughulizakisiasa.”’Nguvuzabungezilibakikuwanimuhuritukablayakufutwanabaadayekurudishwa.Idadiyamajimboilipunguzwanaushawishiwamajimboulidhoofishwa.Hiiililetautawalawaamrikutokakwarais.
Nenosiasalilikuwanisawanauhaini,mwanasiasaalimaanishwanimtumpendarushwa,tapelinamhaini.
Hatahivyo,1966msukumowavikundivyavijanavyakujitoleavilianzamikakatiyakumuondoaMobutuambayealijiita“shujaawapiliwanchi”baadayaLumumba.
KwanguvuzotealijipacheochamtualiyefuatanyayozaLumumbanamojayamamboaliyoazimianikuwanaserikalihalalindaniyaCongo.
Mwaka1967kilizaliwachamachaPopularMovementoftheRevolution(MPR)ambachompaka1990kilikuwachamapekeechakisiasakilichoruhusiwaKongo.
Kwalughanyinginekilikuwachamakilichoruhusiwakisheriakuendeshashughulizakisiasanchinzimakatikaimanimojanjeyahapoilikuwanikosalajinainakinyumenasheriazanchi.
Makalahayayaliyoandaliwakutokavyanzombalimbali,yataendeleawikiijayo.
- Mobutu
- Congo
- Historia
- Afrika