Habari
Maboresho yazifanya bandari Ziwa Tanganyika kuhemewa shehena
Hakika maboresho ya eneo muhimu la kupokea kodi kwa maendeleo ya Tanzania na ustawi wa watu wake, yamedhihirisha umuhimu wa kuwekeza katika bandari za Tanzania. Bandari za Ziwa Tanganyika ni mfano mkubwa wa maboresho hayo.

BANDARI za Tanganyika zimevuka lengo la kuhudumia shehena katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027, baada ya kuhudumia jumla ya tani 236,000 kuanzia mwezi Julai hadi Septemba 2026.
Hili ni ongezeko la ongezeko la tani 19,000 au asilimia 8.76 ikilinganishwa na tani 217,000 zilizohudumiwa katika kipindi kama hicho mwaka wa fedha 2025/2026.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa