Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari

Sekta ya Bima yapaa hadi Tril 2.6/, yalenga kuchangia asilimia 5 ya Pato la Taifa

Ukuaji wa soko, ongezeko la madai yanayolipwa na uwekezaji, vinaifanya sekta ya bima kuwa mhimili muhimu katika kulinda mitaji, biashara na ustahimilivu wa uchumi.

Jumanne, 17 Novemba 2026 · 08:04Dakika 4 kusoma
Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam. — Picha na Mpigapicha Wetu

SEKTA ya bima nchini imeendelea kuimarika, huku thamani ya jumla ya ada za bima zilizoandikishwa ikiongezeka kutoka Shilingi bilioni 911 mwaka 2021 hadi Shilingi trilioni 2.55 mwaka 2025, hatua inayoashiria kuongezeka kwa umuhimu wake katika kulinda biashara, uwekezaji na mali za wananchi.

Ukuaji huo pia umeongeza mchango wa sekta hiyo katika Pato la Taifa (GDP) kutoka asilimia 1.68 mwaka 2021 hadi asilimia 2.11 mwaka 2025, huku Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) ikiweka lengo la kufikisha mchango huo asilimia tano ifikapo mwaka 2050.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia