Kona ya Dkt. Bisimba
Maridhiano Z'Bar ni suluhisho au mwanzo wa maswali mapya?
KULIKUWAnahaliyakutokubalianakatiyaChamachaACTWazalendonaChamaChaMapinduzi(CCM)visiwaniZanzibar,tangukuhitimishwakwaUchaguziMkuu2025.
ACTWazalendowalikuwanahojazilizowafanyakutokubaliananamatokeoyalenaCCMnachokilikuwanahojazake.
SiyomarayakwanzakuwepokwahalikamahiyohukoZanzibar,lakinitukiangaliaTanzaniakwaujumlakumekuwanahaliyakujivuniauwepowaamaninautulivuhatawakatikunapokuwanahalizakutokuelewanakwavyamavikuuvyaupinzaninaserikaliinayopomadarakani.
Ukiangaliasanainaonyeshailituwenaamaniinayoitwaamanikunahitajikakuzungumzamamboambayohuendakuwanimagumulakinimuhimusana.
MakubalianoyahivikaribuniyaliyofikiwakatiyaACTWazalendonaSerikaliyaMapinduziZanzibar,yameonyeshakuibuamatumainikwabaadhiyawatu,wakatikwaupandemwingineyamezuamaswalimengihasawakijiulizakwaninikipindihiki?
Tunapojaribukutafakarihalihiitunaonakuwakwaupandemmoja,nijambolakuangaliwakwamatumainipaleunapoonawanasiasawaliokinzanawanafikiakuwezakukaapamojanakutafutanjiayakuendelezamuafaka.
HistoriayaZanzibar,inatuonyeshajinsiambavyomigogoroyakisiasailivyowezakuletamadharamakubwakwajamii.
TukikumbukajinsikwamarayakwanzaTanzaniailizalishawakimbizi,wananchiwaZanzibarwalipokimbiliashimoni,Kenyabaadayayaliyotokeabaadayauchaguziwamwaka2000.
Kwahalihiyohatuayoyoteinayoelekeakupunguzauhasamainastahilikujadiliwakwaumakinitenakwamtazamochanya.
Lakinihapohapondipomaswaliyanapowezakuibuka.Je,makubalianohayoyametoamajibutoshelevuyasababuzilizofanyakuweponakutokuaminianakisiasa?Auyanashughulikiazaidimatokeoyake?
Je,wananchiwaliokuwanamalalamikokuhusumchakatomzimawauchaguziwamepatamajibuyakutosheleza?Tukifuatiliamaridhianohayotunawezakuonadalilizakuwezakujengwaupyaimaniyawananchikatikataasisizauchaguzinahatataasisinyinginezaumma?
SwalijingineambalolimekuweponanilamsingisananiiwapoACT-Wazalendo,inawezakushirikikatikaserikalinahapohapoiwezekutekelezanafasiyakekamachamachasiasakinachopaswakuisimamiaaukuiangaliaserikali?
Wanaoulizaswalihilisiyokwaniayakupingaushirikianobaliniswalilinalohusumaanayachamachaupinzanikatikamfumowademokrasiayavyamavingi.
Tunajuaipomifanoyanchiambazohuundaserikalizaumojakutokananakurazilizopatikanalakininyingiyahizohuwawameanzakwakukubaliananamatokeoyauchaguzi.
Swalijinginenikuhusuupimwajiwamaridhianohayo.Jekipimoniidadiyaviongoziwaliopatanafasiserikaliniaukwamabadilikokatikamaishanahakizawananchi?Sidhanimaridhianoyakwelinikuhusukugawanamadarakatu.
Maridhianoyatakuwanamaanayakihusishakujengamazingiraambayowananchiwakawaidawanawezakuaminikuwahakiinalindwa,sautizinasikilizwanakurawanayopigainakuwanathamani.Makubalianoyasitazamwekwashangweaukwamashakapekeebaliliwepojicholawananchiwanaotakakuonamatokeo.
Huendahuunimwanzomzuriilamwendelezowakelazimauambatanenauwazi,uwajibikaji,heshimayahakizawananchinahatuazinazojengataasisizenyekuaminika.
NdiyomaanaswalilinalosimamiahojaniiwapomazungumzohayoyatazaaninikwaZanzibarnahatakwaTanzaniakwaujumlawake.
Huuniukurasampyaauniukurasawenyemaswalimapya?
Mwandishiwasafuhiiyakilawiki,nimwanaharakatiwademokrasia,hakizabinadamunamwanazuoniwafalsafayasheria.
MaridhianoZ’Barnisuluhisho.
- Zanzibar
- Maridhiano
- Siasa
- Demokrasia