Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Hoja Yangu

Zanzibar imebeba somo la siasa za maridhiano

KUNA wakati katika maisha ya taifa ambapo ushindi mkubwa wa kisiasa siyo pale upande mmoja unapomshinda mwingine, bali pale pande zinazotofautiana zinapokubali kukaa pamoja na kutafuta kinachowaunganisha.

Jumatatu, 21 Septemba 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 183, uk. 27

Zanzibar inatupa somo hilo kwa namna ya pekee.

Katika siku za hivi karibuni, mchakato wa maridhiano kati ya CCM na ACT Wazalendo umechukua hatua nyingine muhimu baada ya kuundwa kwa Kamati ya Pamoja ya vyama hivyo kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya kisiasa.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia