Habari Kuu
Tundu Lissu katikati ya uhai, kifo Ijumaa
Ijumaa ya wiki hii, Novemba 6, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atapokea hukumu moja kati ya hizi mbili; kunyongwa hadi kufa au kuachiwa huru katika kesi ya uhaini inayomkabili. Soma zaidi Pambazuko kujua undani wa shauri hili

NI wiki ngumu. Wiki ya msongo zaidi kwa Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akiwa anasubiri hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili.
Hatma ya kuendelea kupumua; pamoja na Mungu kuishikilia, lakini sasa ameongezeka mwingine kushikilia pumzi yake; Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam inayoshikilia kesi yake.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa