Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari

Uzembe, ubadhirifu wa halmashauri wakwamisha nia kuondoa umasikini

Bado kuna uzembe mkubwa na kujaa kwa mchwa wanaotafuna fedha zinazotengwa kwa ajili ya kusaidia uchumi wa kaya masikini. Hii ni hadithi ya miaka nenda rudi na wahusika "bado wapowapo sana;" hawaogopi kula fedha za umma.

Jumatatu, 9 Novemba 2026 · 11:37Dakika 3 kusoma
Rais Samia Suluhu Hassan, amekuwa akikemea uzembe, ubadhirifu kwenye halmashauri, lakini mambo bado yanaendelea.
Rais Samia Suluhu Hassan, amekuwa akikemea uzembe, ubadhirifu kwenye halmashauri, lakini mambo bado yanaendelea. — Picha kutoka Maktaba ya Pambazuko.

LENGO la kuanzishwa kwa Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu kupitia utaratibu wa kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri ni kuondoa umaskini wa kimfumo na kuwawezesha kiuchumi wananchi.

Hata hivyo, taarifa ya hivi karibuni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), iliyowasilishwa bungeni wiki iliyopita na mwenyekiti wake, Ado Shaibu, imefichua ukweli mchungu kuwa mfuko huo unakabiliwa na dhoruba nzito ya kutowasilishwa kwa fedha, mikopo kutorejeshwa, na usimamizi legevu unaotishia kufuta ndoto za mamilioni ya wananchi.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia