Habari
Ziara za Ndejembi zafichua madudu ya ubadhirifu, uzembe
Ni wazi kwamba sehemu kubwa ya mkwamo wa maendeleo ya Tanzania, unasababishwa na ubadhirifu, uzembe na kutojali kwa baadhi ya watendaji wa serikali na hilo limebainishwa zaidi na Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi kwenye ziara zake.

ZIARA za kikazi alizofanya Makamu wa Rais, Deogratius John Ndejembi, hivi karibuni katika mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Mtwara na Lindi zimeibua maswali mazito kuhusu usimamizi wa fedha za umma, uwajibikaji wa viongozi na uwezo wa wakandarasi wanaopewa zabuni za kutekeleza miradi ya maendeleo.
Badala ya kuwa ziara ya kawaida ya kukagua maendeleo ya miradi na kusikiliza kero za wananchi, baadhi ya maeneo yaligeuka kuwa majukwaa ya kufichua kasoro zinazotia shaka namna fedha za walipakodi zinavyotumika.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa