Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari Kuu

Matamanio ya Samia kusubiri, baada ya meli kugonga jiwe

Rais Samia amekuwa akianzisha na kukamilisha miradi mikubwa ya kuinua uchumi, hata hivyo, leo ndoto yake ya kuanza kazi kwa mv New Mwanza itabidi kusubiri kidogo baada ya meli hiyo kugonga jiwe maarufu ndani ya Ziwa Victoria.

Jumatano, 18 Novemba 2026 · 18:14Dakika 2 kusoma
Meli iliyogonga jiwe maarufu ndani ya Ziwa Victoria.
Meli iliyogonga jiwe maarufu ndani ya Ziwa Victoria. — Picha kutoka Maktaba ya Pambazuko

NDOTO ya Rais  Samia Suluhu Hassan kuona usafiri wa maji kutoka Mwanza hadi Bandari ya  Port Bell, nchini Uganda, huenda ikasubiri kwa muda kuanza, sababu ikiwa ni ajali iliyopata meli ya mv New Mwanza leo.

Wakati Rais Samia akieleza nia hiyo kwa Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni wakati wa ziara yake iliyoanza leo, meli hiyo iligonga jiwe maarufu ndani ya Ziwa Victoria; Bismack Rock, eneo la Mwanza.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia