Habari Kuu
Mamlaka 119 za udhibiti kikwazo Dira 2050
Tanzania imekuwa ikihimiza wananchi wake na hata wawekezaji kuingiza mitaji katika biashara, lakini mfumo wake wa usajili wa nyaraka za kuanza biashara zina mlolongo mrefu mno.

WINGI wa mamlaka za udhibiti wa biashara ambazo hazijaunganishwa kimifumo, na zisizo na msimamizi mmoja, ni kikwazo kwa ukuaji wa biashara nchini.
Hiyo ni moja ya vikwazo kwa biashara ndogo na za kati, na hata wawekezaji, hivyo kukwamisha ndoto ya utekelezaji na mafanikio ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ambayo inaelezwa kuegamia kukua kwa sekta binafsi.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa