Makala
Hatma ya Dira 2050 iko mabegani mwa vijana wenye ujuzi
Serikali yaagiza mpango wa kuwajengea uwezo wataalamu vijana 10,000 kila mwaka, ikiwa ni njia ya kupunguza mkwamo wa janga la ukosefu wa ajira.

Serikali imewapa wiki mbili Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo na Msajili wa Hazina kuandaa mpango wa kuwawezesha vijana 10,000 kila mwaka kutoka fani mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kujenga rasilimali watu itakayotekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, alisema Tanzania haiwezi kufikia malengo ya Dira 2050 bila kuwekeza katika vijana wenye utaalamu na ujuzi unaoendana na mahitaji ya uchumi wa baadaye.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa