Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

34 wakamatwa kwa mauaji ya askari wanyamapori

Watu 34 washikiliwa baada ya watumishi sita wa uhifadhi kuuawa Sikonge; wengine watano wajeruhiwa huku uchunguzi wa tukio hilo ukiendelea

Jumatano, 23 Septemba 2026 · 14:29Dakika 3 kusoma
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu 34 kwa tuhuma za kushiriki katika mauaji ya watumishi sita wa uhifadhi katika eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Ipole, wilayani Sikonge, mkoani Tabora.

Tukiohilo limeibua maswali mazito kuhusu usalama wa watumishi wa hasa kutokana na migogoro kati ya hifadhi na wananchi, hasa wafugaji katika maeneo yanayopakana na hifadhi.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia