FURSA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO
Waliolamba mamilioni kupitia NeST wafunguka
Mfumo wa Kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST) umefungua fursa mpya za kibiashara kwa vikundi vya wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee, baadhi yao wakitoka katika shughuli ndogo kama usafi wa mitaa hadi kupata zabuni za mamilioni ya shilingi.

Mfumo wa Kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST) umeanza kubadili fursa za kiuchumi kwa baadhi ya vikundi vya wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee nchini Tanzania, kwa kuvipa nafasi ya kushiriki katika zabuni za Serikali na kupata mikataba ya mamilioni ya shilingi.
Kwa wajasiriamali hao, ambao baadhi yao walianza kwa kufanya usafi wa mitaa au kutoa huduma ndogo ndogo, mfumo huo umefungua njia ya kuingia katika biashara za umma zilizokuwa zikionekana kuwa nje ya uwezo wao.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa