Habari
Idadi ya faru weusi yapanda kutoka 128 hadi 170 ndani ya miaka mitano
Moja kati ya mambo yaliyofanikisha kuongezeka kwa faru weusi ni mkakati wa kukabiliana na ujangili pamoja na peogramu kadhaa za miradi ya kuzalisha wanyama hao adimu

TANZANIA imepiga hatua katika uhifadhi wa wanyamapori adimu, huku idadi ya faru weusi ikiongezeka kutoka 128 mwaka 2021 hadi kufikia takribani 170 mwaka 2026, mafanikio yanayoashiria kuimarika kwa mikakati ya kupambana na ujangili na kulinda mifumo ya ikolojia katika hifadhi za taifa.
Ongezeko hilo ni miongoni mwa mafanikio makubwa yaliyorekodiwa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, chini ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa