Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Uchumi & Biashara

Abiria wa mabasi kupanda bei

ABIRIAwamabasiwametumiajumlayaShilingitrilioni2.13kulipianaulikatikakipindichamiakaminnekuanziamwakawafedha2022/23hadi2025/26,kupitiamifumoyatiketiiliyounganishwanaMamlakayaUdhibitiUsafiriArdhini(Latra).

Jumatatu, 28 Septemba 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 184, uk. 18

Mamlakahiyokatikatakwimuzakeinaonyeshakuwakatikakipindihicho,jumlayaabiriamilioni62.18walitumiamifumohiyo,hukuidadiyaabiriaikiongezekakwakasikatikamiakamiwiliyamwisho.

Takwimuhizo,zilizotolewanaMkurugenziMkuuwaLatra,Dkt.HabibSuluo,Septemba24,2026alipowasilishatathminiyautendajiwamamlakahiyombeleyawahaririwavyombovyahabari.

MkutanohuonisehemuyamikutanoinayoandaliwanaOfisiyaMsajiliwahazina(OTR)kwaajiliyakuzipanafasitaasisizaummakuelezakwawatanzaniautendajiwaokatikakiopindifulani.

AkizungumzawakatiwakukaribishaMkurugenziwaLatra,mwakilishiwakutokaofisiyaMsajiliwaHazina,SabatoKosuri,alisemamikutanohiyoinalengakuwapaWatanzaniafursayakujuautendajiwataasisizaummaambazozinamilikiwanaserikali.

AlibainishakuwakatikakipindihikiambachonchiimeanzautekelezajiwaDirayaTaifayaMaendeleo2050,WatanzaniawanapaswakuelezwataasisihizozimejipangavipikatikautekelezajiwaDirahiyo.

Akifafanua,Dkt.SuluoaliwaambaiwaharirikuwakatiyaShilingitrilioni2.13zilizolipwakamanauli,Shilingitrilioni1.99,sawanaasilimia93.2,zililipwakwafedhataslimu,wakatimalipoyamtandaoniyalikuwaShilingibilioni144.28,sawanaasilimia6.8pekee.

Dkt,SuluoalisemahalihiiinapaswakurekebishwaharakakwanikwamujibuwasheriayafedhailiyoanzakutumikaJulaiMosimwakahuu,malipoyoteyanaulizamabasiyanapaswakufanywakwanjiazakielektroniki.

Alisemahilolinawezekanakwanitayariipomifumoyakidijitaliinayowezeshamalipohayo.

Kutokabil226/-hadikaributrilioniMwenendowatakwimuzilizotolewanaDkt.Suluo,unaonyeshaukuajimkubwawathamaniyanauliinayopitakatikamifumohiyo.

Mwaka2022/23,abiriamilioni7.11walilipajumlayaShilingibilioni226.29hukumwakauliofuata,2023/24,idadiyaoilishukahadimilioni6.06nathamaniyanauliikapunguahadiShilingibilioni190.33.

Lakinihaliilibadilikakwakasimwaka2024/25,ambapoidadiyaabiriailipandamilioni20.34,waliolipanaulizaShilingibilioni721.04namwaka2025/26pekee,mfumoulirekodiabiriamilioni28.67namalipoyanauliyaShilingibilioni993.96-ikiwanikaribuShilingitrilioni1kwamwakammoja.

Kwakulinganisha2022/23na2025/26,idadiyaabiriawaliorekodiwakwenyemifumohiyoimeongezekazaidiyamaranne,hukuthamaniyanauliikiwazaidiyamarannepia.

KwahesabuyajumlayatakwimuzaLatra,Shilingitrilioni2.13zilizolipwanaabiriamilioni62.18nisawanawastaniwatakribaniShilingi34,300kwaabiriakatikakipindihicho,ingawakiwangohalisichanaulihutofautianakulingananaumbali,njianadarajalabasi.

FedhataslimubadomfalmeLakininyumayaukuajihuokunajambojinginemuhimu;Watanzaniabadohawajakumbatiakwakiwangokikubwamalipoyanaulikwanjiayamtandao.

Katiyaabiriamilioni62.18waliorekodiwakatikakipindichamiakaminne,abiriamilioni59.27-sawanaasilimia95.3-walilipanaulikwafedhataslimu.

  • Usafiri
  • Bei
  • Mabasi
  • Uchumi

Soma Pia