Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari Kuu

Chongolo ‘afagilia’ mafanikio ya ‘dhababu ya kijani’

Parachichi imepachikwa jina la dhahabu ya kijani kutokana na kuwa zao linaloingiza fedha nyingi za kigeni na kuwanufaisha wakulima na nchi kwa fedha za kigeni.

Alhamisi, 8 Oktoba 2026 · 10:31Dakika 2 kusoma
Daniel Chongolo
Daniel Chongolo — Picha kutoka Maktaba ya Pambazuko

ZAO la parachichi linazidi kuvutia wakulima na wawekezaji nchini Tanzania kutokana na nafasi yake katika kuongeza kipato, kutengeneza ajira na kuingiza fedha za kigeni kupitia mauzo katika masoko ya kimataifa.

Zao hilo, linaloitwa “dhahabu ya kijani”, limekuwa miongoni mwa mazao yanayopewa msukumo na serikali ili kupanua uzalishaji na kuwawezesha wakulima kunufaika na mahitaji yanayoongezeka.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia