Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari

Dar yaanza mbio kuandaa madarasa 2,000

MkuuwaMkoawaDaresSalaam,AlbertChalamilaMKOAwaDaresSalaamumeanzambiozakuandaazaidiyamadarasa2,000,kujengashulempya29nakutafutanafasikatikashulebinafsiilikukabiliananaongezekokubwalawanafunziwanaotarajiwakuingiaKidatochaKwanzamwaka2028.

Jumatatu, 28 Septemba 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 184, uk. 22

MkuuwaMkoawaDaresSalaam,AlbertChalamila,amesemahivikaribunikuwatakribaniwanafunzi230,000wanatarajiwakuhitajinafasizakidatochakwanzamwaka2028.

Hiinizaidiyamarambiliyauwezowasasawamkoawakupokeatakribaniwanafunzi91,000kwamwaka.

Halihiyoisiyoyakawaidaitatokananautekelezajiwamageuziyaelimuyatakayokutanishamakundimawiliyawanafunziwanaomalizaelimuyamsingimwaka2027,baadayamabadilikoyamitaala.

Chiniyamfumompya,elimuyamsingiinapunguzwakutokamiakasabahadisita.

Hivyo,mwaka2027wanafunziwadarasalasitawatakuwakundilakwanzakumalizaelimuyamsingichiniyamfumompya,wakatiwanafunziwadarasalasabawatakuwakundilamwishokukamilishamfumowazamaniwamiakasaba.

Makundihayomawiliyataingiakatikaushindaniwanafasizakidatochakwanzamwaka2028.

KwaDaresSalaampekee,tofautikatiyawanafunziwanaotarajiwanauwezouliopoinaonyeshaukubwawamtihaniunaokuja.

“Tunahitajikupokeawanafunzi230,000,kwamaanahiyo,miundombinuyawanafunzi91,000tuliyonayoitatulazimishakuongezauwezozaidimadarasamapyayanayohitajikanizaidiya2,000,”alisemaChalamilakatikakikaokazinawahaririwavyombovyahabarijijiniDaresSalaam.

Shilingibilioni72kaziniChalamilaamesemakwakuwajambohilolinafahamika,MkoawaDaresSalaamhautakikusubirihadi2028ndipouanzekutafutasuluhisho.

ChalamilaamesemahalmashaurizaDaresSalaamzimetengajumlayaShilingibilioni72kwaajiliyaujenziwamadarasa,ikiwanisehemuyamaandaliziyakukabiliananaongezekohilolawanafunzi.

Kwahatuayaawali,mkoaunalengakujengamadarasa700katikahalmashaurizake.

Wakatihuohuo,zaidiyashulempya29zasekondarizinaendeleakujengwakatikamaeneombalimbaliyaDaresSalaam,baadhizikiwazaghorofakutokananachangamotoyaupatikanajiwaardhikatikajijihilo.

“Shule29zamaghorofazinaendeleakujengwanahiitumeiwekakatikampangokatikamaeneoyote,”alisema.

UjenziwashulezaghorofaunaakisitatizojinginelakipekeelaDaresSalaam.Tofautinamikoayenyemaeneomakubwayakujengashulempyakwamtindowakawaida,ongezekolawatunathamanikubwayaardhikatikajijihilovinalazimishamamlakakufikirianamnayakuongezauwezowashulekwakutumiaeneodogo.

ShulebinafsikwenyehesabuMojayamikakatiambayoinawezakubadilishanamnaserikaliinavyoshughulikiaongezekolawanafunzinikutumiamajengoyashulebinafsiambayohayatumikikikamilifu.

ChalamilaamesemaDaresSalaaminashulekadhaabinafsizilizojengwakwauwezomkubwamiakailiyopita,lakiniambazosasazinanafasizisizotumikakutokanana,pamojanasababunyingine,kuboreshwakwashulezaserikali.

Amesemaserikaliyamkoaitajadiliananawenyeshulehizokwaajiliyakuzikodishakwaserikaliilikuwahudumiawanafunzihao.

“Badalayaserikalikukimbizananaujenziwakilajengojipyandaniyakipindikifupi,mkoaunatakakujadiliananawamilikiwashulehizoilisehemuyawanafunziwaserikaliwatumiemajengoyao.

“Mkakatiwetumwinginenikushirikiananawamilikiwashulehizoilituingizewanafunziwetuwaserikalikwamakubaliano,hatakamanikwakulipakodikwamudaangalauwamiakaminne,wakatiSerikaliikiwanamipangoyakumalizakabisatatizohilo,”alisemaChalamila.

Mpangohuo,ukitekelezwa,utakuwanamaanambili.Kwanza,unawezakutoanafasizaharakawakatiujenziwashulenamadarasamapyaukiendelea.

Pili,unawezakurejeshakatikamatumizimajengoyaelimuambayokwasasahayatumikikwauwezowakekamili.

Lakinipiautahitajimakubalianoyaliyowazikuhusugharama,viwangovyamajengo,usimamizi,walimunanamnawanafunziwaserikaliwatakavyounganishwakatikashulehizo.

RaisSamiaSuluhuHassanSektabinafsiyaitwakusaidiaZaidiyakukodimajengoyaliyopo,mkoaunatakapiawafanyabiasharanakampunikushirikimojakwamojakatikaujenziwamadarasanashule.

ChalamilaamesemaushirikianohuounawezakusaidiakuzibapengolamiundombinuambaloSerikalipekeyakeinawezakupataugumukulimalizandaniyamudauliobaki.

Hiiinaifanya2027kuwamwakamuhimuzaidikatikamaandalizihayo.

DaresSalaamhaitahitajitukukamilishashulenamadarasa;itahitajipiamadawati,vyoo,maji,maabara,vifaavyakufundishianawalimuwakutoshakwaidadikubwazaidiyawanafunzi.

Hapondipochangamotoya“doublecohort”.

inapotokakwenyehesabuyamadarasapekeenakuwamtihaniwamfumomzimawaelimu.

RaisSamiaalitoatahadhariMaandaliziyaDaresSalaamyanafuatiaagizolaRaisSamiaSuluhuHassankwawakuuwamikoanamamlakazaSerikalizaMitaakuanzamapemakujiandaakwamwaka2028.

AkizungumzaSeptemba2wakatiwakuwaapishaviongoziwapyawamikoakatikaIkuluyaTunguu,Zanzibar,RaisSamiaalisemauwezowakilamkoakuwapokeawanafunziwatakaomalizaelimuyamsingiunapaswakuwamiongonimwavipimomuhimuvyautendajiwaviongoziwake.

Alitakakilamkoaujueidadiyawanafunziuliyonayo,wangapiwatamalizaelimuyamsinginawangapiwatahitajinafasizakidatochakwanzamwaka2028.

  • Elimu
  • Dar es Salaam
  • Madarasa
  • Ujenzi

Soma Pia