Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Burudani

Diamond kuachia albamu mpya Oktoba

MSANII Diamond Platnumz amesema ataachia albamu yake mpya Oktoba mwaka huu, ikiwa ni miaka minane tangu alipotoka na A Boy From Tandale mwaka 2018.

Jumatatu, 31 Agosti 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 180, uk. 36
Mwanamuziki Diamond Platnumz
Mwanamuziki Diamond Platnumz — Picha kutoka Maktaba ya Pambazuko

“Baada ya miaka nane sasa naenda kuachia album nyingine. Inaweza kutoka Oktoba 2, sijui, lakini album inakuja na collabo kubwa, sound kubwa na muziki mzito,” amesema Diamond.

Ameeleza kuwa ukimya wake wa hivi karibuni haukuwa wa bahati mbaya, bali alikuwa akijikita zaidi katika kuandaa album hiyo.

  • Diamond Platnumz
  • Muziki
  • Bongo Fleva

Soma Pia