Burudani
Priscilla ‘alivyomsapraizi’ Jux siku yake ya kuzaliwa
PRISCILLA, mke wa msanii wa Bongo Fleva, Juma Jux, amemfanyia surprise mumewe kwenye tukio la sherehe ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake.
Katika video aliyopost kwenye ukurasa wake wa Instagram, ilionyesha msanii huyo hakuwa anajua kinachoendelea hadi alipofika eneo la tukio.
Septemba 1, 2026 ilikwua ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Juma Jux hivyo tukio hilo ni moja kati ya tukio muhimu kwake akipewa zawadi na mke wake.
Umebakiwa na makala 2 za bure mwezi huu. Jiunge ili kusoma bila kikomo.
- Juma Jux
- Priscilla
- Bongo Fleva