Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Mitindo & Urembo

Faida za manjano kwenye ngozi

MANJANO (turmeric) ina faida kubwa kwenye ngozi ikiwemo kung’arisha, kutibu chunusi na kupunguza mafuta usoni.

Jumatatu, 14 Septemba 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 182, uk. 35

Namna ya kutumia; * Unaweza kuchanganya unga wa manjano kwenye asali au maziwa ili kutengeneza mchanganyiko wa kupaka usoni.

* Changanya kijiko kimoja cha manjano na asali au maziwa kwenye chombo, koroga vizuri hadi uwe uji mzito * Hatua inayofuata paka usoni, acha mnyanganyiko huo ukae usoni kwa dakika 15 hadi 20. Fanya hivyo mara mbili kwa wiki kwa matokeo mazuri zaidi.

  • Urembo
  • Ngozi

Soma Pia