Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Mitindo & Urembo

Fanya ngozi ya uso kuwa laini

NGOZI ya usoni inavutia kutokana na matunzo haswa kwa kufuata ratiba bora kuanzia namna ya kuosha hadi vitu unavyovitumia.

Jumatatu, 7 Septemba 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 181, uk. 35

Hapa nimekuwekea vitu vingine vya kubusti mwonekano wako kama ifuatavyo; * Tumia mafuta ya vaseline ya mgando kijiko kimoja na kiini cha yai.

* Osha vizuri uso wako kisha kausha vizuri.

* Changanya mafuta na kiini cha yai koroga vyema na upake usoni kwa kujimasage, kaa na mchanganyiko usoni kwa dakika 30, kisha nawa kwa maji safi ya uvuguvugu usitumie sabuni.

Fanya hivi mara mbili kwa wiki na utaona matokeo.

Umebakiwa na makala 2 za bure mwezi huu. Jiunge ili kusoma bila kikomo.

  • Urembo
  • Ngozi

Soma Pia