Mitindo & Urembo
Tumia 'scrub' hii kung'arisha ngozi
WATU wengi hawana utaratibu wa kutumia scrub zaidi ya kupaka tu mafuta, lakini ukweli ni kwamba scrub zina umuhimu katika kung’arisha ngozi yako na kuwa na afya.
Leo nakuletea scrub yenye mchanganyiko wa sukari, kahawa, manjano na asali.
- Urembo
- Ngozi
- Usafi