Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari

Shinikizo, uchumi na mitandao vyatajwa kuvuruga zaidi ndoa

Mtaalamuwasaikolojianauhusiano,CharlesKalunguakizungumzakatikamahojianomaalumnamwandishiwahabariwagazetihili,HellenNgolomela,jijiniDaresSalaamhivikaribuni.

Jumatatu, 28 Septemba 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 184, uk. 28

SHINIKIZOlafamilia,changamotozakiuchumi,matarajiomakubwa,ushawishiwamitandaoyakijamiinavijanakuingiakatikandoabilamaandaliziyakutoshavimetajwakuwamiongonimwasababuzinazowekarehanibaadhiyandoazakizazichasasa.

Mtaalamuwasaikolojianauhusiano,CharlesKalungu,anasemabaadhiyavijanahuingiakatikandoabilakufahamianakwakiasichakutosha,hukuwenginewakisukumwanafamiliazaokuoaaukuolewanawatuambaohawakuchaguawenyewe.

AkizungumzanaPambazukokatikamahojianomaalumuofisinikwakeKimara,DaresSalaam,Kalungualisematatizohilohuonekanazaidipalemaslahiyakifamiliahasayakiuchumiyanapopewauzitokulikoutayariwawatuwanaotakakuishipamoja.

Kwamujibuwamtaalamuhuyo,baadhiyafamiliazenyeuwezowakiuchumihujaribukuwaunganishawatotowaokupitiandoakwalengolakuimarishauhusianoaumaslahiyafamilia,jamboambalolinawezakuwachanzochamatatizoiwapowahusikawenyewehawakuwatayari.

“Ndoanyingihivisasahazidumu.Zinavunjikakwamudamfupi,wiki,mwezinahatandaniyamiakamichache,”anasemaKalungu,akielezakuwakatikakaziyakeamekutananawanandoawanaoanzakupatamatatizomakubwamudamfupibaadayakufungandoa.

Anasemamatarajioyasiyohalisinayoyanawezakuwachanzochamigogoro.Baadhiyawatuhuingiakatikandoawakiwanapichayamaishawanayotakakupatamaramoja,bilakutambuakwambakujengafamilianimchakatounaohitajimuda,majadilianonauwezowakukabiliananamabadiliko.

VijanahawaandaliwiKalunguanaonatatizokubwazaidilikiwanivijanakuingiakatikandoabilamaandaliziyakutoshailikuwapatiamaarifayakutoshakuhusumaishamapyawanayokwendakuanza.

Anasemahisiazamwanzowauhusianowakatimwinginehuwafanyavijanakufanyauamuziwaharakaharakakablayakufahamianakwakina,ikiwemokujuahistoria,tabia,matarajionamtazamowamwenzakuhusufamilia.

Kwamtazamowamtaalamuhuyo,maandaliziyandoahayapaswikuishiakatikataratibuzashereheaumafundishoyajumla,baliyanapaswakuwasaidiawatukuelewamabadilikowatakayokutananayokatikamaishahalisi.

Anatoamfanowamabadilikoyamwiliyanayowezakutokeabaadayakujifungua,akisemabaadhiyawenzahuingiakatikamigogorokwasababuhawakuwawamejiandaakisaikolojiakukabiliananamabadilikoyaainahiyo.

Kalunguanaaminiushauriwakitaalamukablayandoaunawezakusaidiavijanakujengamatarajioyenyeuhalisianakuelewakwambamaishayandoahubadilikakadirimudaunavyokwenda.

UchuminaomtihaniKalunguanasemagharamazamaishanamatarajioyakifedhayanawezakuongezashinikizondaniyafamilia,hasapalewenzawanapokuwanamitazamotofautikuhusukipato,matumizinamajukumuyakifedha.

Anaonyakuwatatizolinawezakuwakubwazaidipalemmojaanapotarajiamaishaambayouwezowasasawafamiliahauwezikuyafikia.

Mtaalamuhuyoanasemafedhanimuhimukatikakuendeshafamilia,lakinisiyombadalawauhusianomzuri,mawasilianonaamanikatiyawanandoa.

Anasemapiamaudhuiyanayosambaakatikamitandaoyakijamiiyanawezakuathirinamnabaadhiyavijanawanavyotazamamahusiano,fedhanamaishayandoa.

“Ukwelikunawakatikwenyendoafedhainakuwahainanafasikulikohisia,”anasema,akisisitizaumuhimuwawenzakujifunzakuishipamojanakuelewanabadalayakupimamafanikioyandoakwamalipekee.

ManenonayohujengaaukubomoaLughainayotumiwanawanandoanieneojingineambaloKalunguanasemalinawezakuimarishaaukudhoofishauhusiano.

Anatajakaulikama“tuachane”,“nilifanyamakosakukuchagua”pamojanamatusinakumdhalilishamwenzakuwamiongonimwamanenoyanayowezakuharibuuhusianoiwapoyanarudiwamarakwamara.“Ukionamtuanamtukanamwenzawakeujuehapoumojahakunanamaranyingiinatengenezadharaunadarajalandoakuvunjika,”anasema.

Badalayake,anashauriwanandoakutumialughainayojengaheshimanaukaribu.

Anasemandoahaiwezikujengwanamahabapekee,balipiaurafiki,ushirikiano,kuheshimiananauwezowakuzungumzakuhusumatatizo.

UkimyanaonitatizoKalunguanasemakuwamawasilianondiyomoyowauhusiano.

Anasematabiayawanandoakununiana,kususianaaukukaamudamrefubilakuzungumzainawezakuongezaumbaliwakihisianakufanyamatatizomadogokukuabilakutatuliwa.

Anatajanguzombilimuhimukuwanitaarifanamazungumzo.

Kwamfano,wenzawanapaswakufahamishanawanapokwendasehemumbalimbalinakujadilianakuhusumasualamuhimuyafamilia,kuanziamatumiziyafedhahadimipangoyamaisha.

“Kukalianakimya,kununiananakususianakunawezakupelekeamahusianokuwamabayasana,”.

anasema.

Anatoamfanowafamiliainayopitiamatatizoyakifedha,lakiniwenzahawazungumzi.Mmojaanawezakuwanauwezowakusaidia,lakiniukosefuwamawasilianoukafanyatatizoliendelee.

Katikamazingiramengine,wenzawanawezakutumiafedhakwajambomojakwasababuhawakupangapamoja,hivyokuongezagharamaambazozingewezakuepukwa.

Kalunguanasemahaliyakutowasilianainawezapiakuongezawasiwasi,msongowamawazonashinikizolakihisiakwawanandoa.

ElimuyandoaiongezweIlikupunguzamatatizohayo,Kalunguanashaurikuwekezwazaidikatikaelimuyamahusianonafamiliakablanabaadayandoa.

Anasemataasisizakidinizinaendeleakutoamchangokatikamaandaliziyawachumba,lakinikunanafasipiakwawataalamuwasaikolojia,afyayaakilinauhusiano.

Mtaalamuhuyoanasemawenyeujuziwasaikilojiawanawezakuwasaidiavijanakujadilikwauwazimasualaambayowakatimwinginehuwamagumukuyazungumziakatikamazingiramengine.

Katikamazingiraambayomitandaoyakijamii,shinikizolakiuchuminamabadilikoyamaishayanaendeleakuathirimatarajioyavijana,Kalunguanasemaelimuyamaishayandoainapaswakupewauzitozaidi.

Kwasababu,anasisitiza,ndoasiyotukiolinalomalizikabaadayasherehe,nimchakatounaohitajikujengwanawatuwawili,sikubaadayasiku.

  • Ndoa
  • Familia
  • Uchumi
  • Mitandao

Soma Pia