Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

UHARIBIFU WA USIMAMIZI WA MISITU

Miiko ya Waluguru dhidi ya vibali vya serikali, kipi kinaiacha misitu kwenye hatari?

Kwa karne nyingi, miiko na mamlaka za kimila zilisaidia kulinda misitu na vyanzo vya maji vya Milima ya Uluguru. Leo, licha ya sheria na mfumo wa vibali vya uvunaji wa mazao ya misitu, ukataji miti na biashara ya mkaa vinaendelea kushamiri. Uchunguzi wa Christine Haule unaonesha jinsi mgongano wa mamlaka, udhaifu wa usimamizi na gharama za nishati safi unavyochangia kuiacha Kiroka katika hatari ya kimazingira.

Jumatano, 11 Novemba 2026 · 12:48Dakika 8 kusoma
Sehemu ya Milima ya Uluguru
Sehemu ya Milima ya Uluguru — Picha kutoka Mtandaoni

MILIMA ya Uluguru, kwa karne nyingi, imekuwa nguzo muhimu ya ikolojia, ikihifadhi misitu, kulinda vyanzo vya maji na kusaidia maisha ya mamilioni ya watu katika maeneo ya Morogoro na kwingineko.

Ulinzi wa misitu hiyo haukutegemea doria za askari wenye silaha, bajeti kubwa za Serikali au sheria zilizochapishwa kwenye magazeti ya serikali. Kwa kiasi kikubwa, ulitegemea mifumo ya jadi ya uhifadhi iliyojengwa katika imani, heshima kwa mazingira na miiko iliyoheshimiwa na jamii ya Waluguru.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia