Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

UHARIBIFU WA MAZINGIRA

Siri ya hekta 62,000: Mianya ya vibali vya mkaa yatishia kuteketeza Misitu ya Kiroka

Uchunguzi huu unaibua namna mianya katika mfumo wa utoaji wa vibali, ukosefu wa uwazi na madai ya rushwa vinavyochangia uharibifu wa misitu ya Kiroka, Wilaya ya Morogoro Vijijini, ambako takribani hekta 62,000 za uoto wa miti zimepotea kati ya mwaka 2001 na 2025.

Jumatano, 11 Novemba 2026 · 11:29Dakika 7 kusoma
Sehemu ya uoto wa asili kwenye Milima ya Uluguru
Sehemu ya uoto wa asili kwenye Milima ya Uluguru — Picha kutoka Mtandaoni

UTAJIRI wa asili uliopo Kata ya Kiroka, Wilaya ya Morogoro Vijijini, imekuwa chachu ya uhifadhi wa mazingira, hivyo kutakiwa kuenziwa.

Misitu hiyo imekuwa na mchango muhimu katika kuhifadhi na kulinda vyanzo vya maji na kutunza bioanuwai ya kipekee katika Milima ya Uluguru na maeneo jirani.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia