Uchunguzi wa Nishati na Mazingira
Je, mkakati wa 2034 utafika vijijini wakati mkaa ukiwa 'rahisi' kuliko gesi?
Licha ya Tanzania kuweka lengo la kuhakikisha asilimia 80 ya wananchi wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo 2034, kaya nyingi za Kiroka, Morogoro, bado zinategemea mkaa na kuni.

SERIKALI ya Tanzania imeweka lengo la kihistoria la kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2034, angalau asilimia 80 ya wananchi watakuwa wanatumia nishati safi ya kupikia.
Lengo hilo limebainishwa katika Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024–2034), ambao unakusudia kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa, kulinda misitu, kuboresha afya za wananchi na kupunguza uzalishaji wa gesi zinazochangia mabadiliko ya tabianchi.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa