Habari
TFS lawamani kwa kuchoma nyumba 170
Inashangaza kwamba maelewano kati ya wanakijiji na baadhi ya taasisi za serikali yanaendelea kuwa butu kiasi cha kuchomwa kwa makazi ya binadamu. Je, utu umepotelea wapi? Soma zaidi hapa.

ZAIDI ya kaya 170 katika Kitongoji cha Kidereko, Kijiji cha Matuku, Wilaya ya Handeni, Tanga, hazina makazi baada ya nyumba zao kuteketezwa kwa moto katika operesheni iliyohusishwa na mgogoro wa ardhi kati yao na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS).
Nyumba hizo zilichomwa na askari wa TFS Novemba 7, 2026, na kuibua upya mjadala kuhusu namna taasisi za serikali zinavyoshughulikia migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya hifadhi na wananchi wanaodai kuwa wamepata maeneo yao kwa utaratibu unaotambuliwa na mamlaka za vijiji.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa