Mitindo & Urembo
JLO alivyoteka onyesho la mavazi ya Vogue World Milano
MWANAMUZIKInamwanamitindokutokaMarekani,JenniferLopezmaarufuJLO,ameonekanakutekaonyesholamavaziyaVogueWorldMilano2026.
OnyeshohilolilifanyikaSeptemba22,2026,katikaukumbiwakihistoriawaGalleriaVittorioEmanueleIInchiniItalia,ikiwanisehemuyaufunguziwawikiyamitindoyaMilan.
JLOalitekajukwaahilonakubadilimwelekeowashughulinzimapalealipotokamojakwamoja,akitokeasafuyambeleyawatazamaji(frontrow)nakujiunganawanamitindowaliokuwawakitembeajukwaaniwakatiwakipengelecha“MadeinItaly”.
Alikuwaamevaliagaunijeusilakifaharilililotengenezwakwakitambaacha‘tulle’nakurembeshwakwanakshiza‘sequins’kifuaninakwenyesketi,muundomaalumkutokakwawabunifumashuhuriwaItalia,Dolce&Gabbana.
Muonekanowakeulionyeshamtindowakuvutiawa“Italiandiva”namiondokoyakizamaniyamiakaya1950(1950s-style),hukuakisindikizwajukwaaninawabunifuwenyeweDomenicoDolcenaStefanoGabbana.
Katikakukamilishamuundohuowakimalkia,JLOalivaaglavundefuzamikononinamkufuwadhahabunyeupekutokakwenyemkusanyikowaAltaGioielleria,ukiwanajiwekuulaalmasiainayaParaibatourmalinelenyeuzitowacarat74.459.
- JLO
- Mitindo
- Vogue
- Milano