Habari
Jukwaa la wakuu wa mamlaka OTR
MsajiliwaHazina,NehemiahMchechuNaMwandishiwaOTRSERIKALIimesemaMkutanowaWenyevitiwaBodinaWatendajiWakuuwaTaasisizaUmma(C-CEOsForum)2026,unaotarajiwakuwakutanishaviongozikutokamashirikazaidiya300yaumma,pamojanasektabinafsinijukwaamuhimukuimarishautendaji.
Pamojanawashirikihao,piakunawadauwenginezaidiya700.
Jukwaahilolinaloanzaleo-Septemba28hadi30,2026,nimuhimukatikakuimarishautendaji,tijanamchangowamashirikahayokatikautekelezajiwaDira2050.
JukwaahilolinaloratibiwanaOfisiyaMsajiliwaHazina(OTR),nimwendelezowakufanyikaikiwaniawamuyannekufanyikatangukuanzishwakwakemwaka2023.
AkizungumzanawaandishiwahabariofisinikwakeIjumaa-Septemba25,2026,MkuuwaMkoawaArusha,AmosGabrielMakalla,alisemakuwakutanishaviongoziwamashirikayaummakatikajukwaamojakunatoafursayakujengauelewawapamoja,kubadilishanauzoefunakuimarishaushirikianokwalengolakuongezatijanamchangowamashirikahayokatikamaendeleoyataifa.
AmesemanimuhimumashirikayaummakuhakikishamipangonashughulizaozinaendananamalengoyaDira2050,ilirasilimalinauwekezajiunaosimamiwanaserikaliuwezekuzalishamatokeoyenyethamanizaidikwauchuminawananchi.
MsajiliwaHazina,NehemiahMchechu,alisemautekelezajiwaDira2050unahitajimabadilikokatikanamnamashirikayaummayanavyotazamautendajiwao,kutokakwenyekuendeshataasisinashughulizakekwendakwenyekuzalishamatokeoyanayopimikanayenyethamanikwaTaifa.
MchechualisemaufanisiwajuuunapaswakuonekanakatikauwezowaMashirikakutumiarasilimalinauwekezajiwaliokabidhiwakwatija,kujengaushindani,kuimarishauimarawakifedhanakutoahudumazenyeubora,hukuyakichangiakikamilifukatikaukuajiwauchumi.
MchechualisemathamaniyauwekezajiwaserikalikatikamashirikanakampunizakeimeongezekakutokaShilingitrilioni67.95mwaka2020/21haditrilioni92.28mwaka2024/25,sawanaongezekolaasilimia35.8,haliinayoongezaumuhimuwakuhakikishauwekezajihuounazalishamatokeomakubwazaidi.
Alisemamatokeohayohayawezikupimwakwagawiopekee,baliyanapaswakuangaliwakwaupanakupitiatija,uborawahuduma,ufanisiwamatumiziyarasilimali,uimarawakifedha,ubunifu,matumiziyateknolojia,uwezowakushindananaathariyataasisikatikauchumi.
Alisemamashirikayaummayanapaswakujengauwezowakubadilikakulingananamazingirayauchumi,teknolojianamahitajiyawananchi,hukuuongozinabodizikibebajukumumuhimulakuwekamwelekeowautendajinauwajibikaji.
- OTR
- Kodi
- Serikali