Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Afya ya Kimwili

Kwa nini wagonjwa wengi wa kiharusi hawaponi?

KIHARUSI(stroke)nimojayachangamotokuuzakiafyazinazotishiamaishanaustawiwawatuwengiduniani.

Jumatatu, 28 Septemba 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 184, uk. 25

Katikajamiizetu,mtazamowawenginikwambapindiunapopatwanachangamotohiiunapotibiwahospitalini,mgonjwaanapaswakuponamaramoja.

Halihaikohivyo,kwanitakwimunatafitimbalimbalizakisayansizinaoneshaukwelimchungukuwahadiasilimia50yawagonjwahawazindukiaukushindwakabisakurejeakatikahaliyaoyakawaidayautendajiwamfumowafahamunaviungo.

Uelewawakwaninihalihiihutokeaunahitajikuangaliasababuzakibaolojia,ndaniyaubongopamojanachangamotozakimatendowakatiwamchakatowakimatibabunamazoeziyatiba.

Kwaupandewakibaolojia,utafitimpyauliochapishwakatikaJaridalaPNASnawatafitikutokavyuovikuuvyaColoradoBoulder&Antwerpunatoajibulamsingi.

Utafitihuuunabainikuwamarabaadayamtukupatwanakiharusi,mfumowakinganakujilindawaubongowenyewehubadilikanakuanzakujishambulia.

Mwitikiohuuwandanihuchocheakutengenezwakwavibongevidogosanavyadamu(micro-clots)kwenyemishipamidogomnoyandani.

Hivihaviwezikuondolewakwaupasuajiwalakufikiwakwaurahisinadawazakawaida,nahivyokuendeleakunyimatishuzaubongohewasafiyaoksijeninavirutubishomudamrefubaadayamshipamkuukusafishwa.

Mbalinasababuhizizandaniyaubongo,utafitimwingineunaoangaziauwezowakurejeakwaviungo(motorrecovery)unaonyeshakuwawengihawaponikutokananausimamizimbovuwamchakatowamazoeziyatiba(physiotherapy).

  • Kiharusi
  • Afya
  • Ugonjwa

Soma Pia