Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari Kuu

Lissu ‘ahutubia’ taifa kutoka kizimbani

KATIKA kipindi ambacho viongozi wa vyama vya upinzani wanakabiliwa na mazingira magumu ya kufanya mikutano ya hadhara, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, anaonekana kujenga aina mpya ya jukwaa la kisiasa; kizimba cha Mahakama Kuu.

Jumatatu, 7 Septemba 2026 · 06:00Dakika 7 kusomaToleo 181, uk. 6

Lissu amekuwa mahabusu kwa zaidi ya mwaka mmoja akisubiri na kushiriki katika mchakato wa kusikilizwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili, lakini, kinyume na matarajio kwamba kuwa mahabusu kungepunguza uwezo wake wa kuwasiliana na umma, kinachotokea ni tofauti.

Kila anapofikishwa Mahakama Kuu, Kanda amekuwa akitumia nafasi hiyo kutoa ujumbe mfupi kwa umma, aidha kabla kesi haijaanza au baada ya kesi kuahirishwa.

Kwa wanachama

Endelea kusoma makala hii

Habari za uchunguzi zinagharimu muda na rasilimali. Jiunge na Pambazuko ili kusoma makala zote na kuunga mkono uandishi huru wa Kiswahili.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia