Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari Kuu

Lissu: Ushahidi wa Jamhuri umeshindwa kukidhi vigezo vya uhaini

Achambua sheria kipengele kwa kipengele, adai kauli za “kuzuia uchaguzi,” “kuvuruga uchaguzi” na “kuhamasisha uasi” hazitoshi kuthibitisha kosa analoshtakiwa nalo MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameiambia Mahakama Kuu – Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kuwa ushahidi uliotolewa dhidi yake umeshindwa kuthibitisha vigezo vya kisheria vinavyounda kosa la uhaini.

Jumatatu, 28 Septemba 2026 · 06:00Dakika 5 kusomaToleo 184, uk. 6

Ameyasema hayo wiki iliyopita wakati akiwasilisha hoja zake za mwisho mbele ya jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru.

Lissu aliwaambia majaji hao kuwa kauli zake zinazotumiwa na upande wa mashtaka (Jamhuri) kujenga kesi dhidi yake, hazitoshelezi matakwa ya Kifungu cha 39 cha Kanuni ya Adhabu.

Kwa wanachama

Endelea kusoma makala hii

Habari za uchunguzi zinagharimu muda na rasilimali. Jiunge na Pambazuko ili kusoma makala zote na kuunga mkono uandishi huru wa Kiswahili.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia