Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari

Madola yakamia Lissu New York

UHURUwavyombovyahabarinamaridhianoTanzania,vimeendeleakuwamasualamuhimukatikamwendelezowavikaovyaKundilaMawazirilaJumuiyayaMadola(CMAG).

Jumatatu, 28 Septemba 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 184, uk. 35

KundihilolimeendeleakuisisitizaSerikaliyaTanzaniakuonaumuhimuwakuchukuahatuamuhimukwenyemaeneohayo.

Katikakikaochakecha74kilichofanyikaSeptemba20,2026,kundihilolimeitakaSerikaliyaTanzaniakuonaumuhimuwakuimarishamaridhianoyakisiasa,kulindauhuruwakiraianavyombovyahabari,pamojanakuhakikishahakiinatendekakatikakesiambazobadohazijakamilika.

KikaohichokilihitimishwakwakundihilokuamuakuendeleakuiwekaTanzaniakwenyeajendayakerasmi.

Mawaziriwashirikiwameelezakuwapamojanakutambuamaendeleoyaliyopatikanakatikabaadhiyamaeneo,badokunahajayakuchukuahatuazaidiilikufikiamatarajioyaliyowekwanakundihilo.

“CMAGimeendeelakusisitizaumuhimuwakuendelezamchakatojumuishiwavyamavyasiasaunaosimamiwakwanjiainayoaminika,kulindauhuruwakiraia,kisiasanawavyombovyahabari,pamojanakuhakikishataratibuzahaki,kwawakatinazenyeuwazikatikakushughulikiakesiambazobadohazijamalizika.

“Piaimesisitizakuwepokwamifumoinayoaminikayauwajibikaji,utoajiwahakinafidiastahikikwawatuwalioathirika,”imeelezataarifayaCMAG.

Katikamkutanohuo,CMAGilifanyamazungumzonaWaziriwaMamboyaNjenaUshirikianowaAfrikaMashariki,BaloziDkt.MahmoudThabitKombo,pamojanaWaziriwaNchikatikaOfisiyaWaziriMkuu,Prof.PalamagambaKabudi.

KundihilolilitambuaushirikianowaTanzanianaMjumbeMaalumuwaKatibuMkuuwaJumuiyayaMadola,mazungumzoyaliyofanyikahivikaribuninavyamavyasiasa,pamojanahatuazinazochukuliwakuelekeamaridhianoZanzibar,likisemamambohayonimsingimzuriwakupigahatuazaidi.

Hatahivyo,CMAGilikumbushamashartimanneyaliyoainishwakatikamkutanowakewa71waDesemba2025,pamojanamatarajioyenyemudamaalumuyaliyowekwakatikamkutanowakewa73waJulai2026.

Kutokananahalihiyo,kundihilolimeihimizaSerikaliyaTanzaniakukubalianamapematareheyaziarayaKatibuMkuuwaJumuiyayaMadola,iliawezekukutananaRaisSamiaSuluhuHassannawadauwengine.

CMAGilisemaitaendeleakuiwekaTanzaniakwenyeajendayakerasmi,hatuainayomaanishakuwamasualayanayohusunchihiyoyataendeleakufuatiliwakatikamikutanoyake.

PolekifochamumewaSamiaKatikamkutanohuo,CMAGilikaakimyakwadakikamojakwaheshimayamarehemuHafidhAmeirHassan,mumewaRaisSamiaSuluhuHassan,aliyefarikiduniaSeptemba7,2026.

KundihilopialilisisitizadhamirayakeyakulindanakuendelezamisingiyakisiasayaJumuiyayaMadola,kamailivyoainishwakatikamkatabawajumuiyahiyo.

CMAGpiaimeipongezaSekretarietiyaJumuiyayaMadolakwajuhudizakezakuendelezamazungumzoyenyekujenganakuimarishauaminifumiongonimwanchiwanachama.

MkuuwaJumuiyayaMadola,niMfalmeCharlesIII.

  • Tundu Lissu
  • New York
  • Diplomasia

Soma Pia