Habari
OTR, TAZAMA wajadili mwelekeo wa biashara
TAZAMA ni moja tya taasisi muhimu katika kuendeleza sekta za usafirishaji na nishati kati ya Tanzania na Zambia.

Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) na Kampuni ya Bomba la Mafuta la Tanzania na Zambia (TAZAMA) zimejadili mwelekeo wa kimkakati wa kampuni hiyo, fursa za kibiashara na umuhimu wa kuimarisha ushindani wake katika soko la usafirishaji wa nishati kikanda.
Majadiliano hayo yalifanyika Novemba 9, 2026, wakati OTR ilipompokea Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAZAMA kutoka Zambia, Ian Mutale, aliyefanya ziara ya utambulisho kwa Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, jijini Dar es Salaam.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa