Habari
Mjane wa rais aamua kuwania urais
Madaraka matamu, asikwambie mtu. Sasa ni dhahiri kwamba aliyekuwa mke wa Rais wa Haiti, ameamua kujitosa kuwania nafasi iliyoachwa na mume wake baada ya kuuawa na majahili.

MIAKA mitano baada ya mumewe kuuawa kwa kupigwa risasi nyumbani kwake, Martine Moïse, mjane wa aliyekuwa kiongozi wa Haiti, Jovenel Moïse, amejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania urais wa taifa hilo linalokabiliwa na machafuko ya muda mrefu.
Martine ni miongoni mwa watu 33 waliojiandikisha kuwania urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Julai 18, 2027, ukiwa uchaguzi mkuu wa kwanza nchini humo tangu mwaka 2016.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa